SERIKALI YATOA MKONO WA POLE KWA FAMILIA ZILIZOPOTEZA WATOTO ARUSHA

 Mkuu wa wilaya ya Arusha Felician Mtahengerwa ametoa mkono wa pole kwa familia zilizopoteza wanafunzi wa shule ya Ghati Memorial katika maafa ya mvua,


Mkuu huyo wa wilaya anasema kuwa kila familia imepatiwa kiasi cha shilingi milioni moja huku familia ya kijana msamaria mwema aliyepoteza maisha yake akiwa anakoa wanafunzi hao ajulikanae kwa jina Brayan Tarange ikikabidhiwa kiasi cha shilingi milioni tano fedha ambazo zimetolewa na Rais Samia Suluh Hassan

Tukio hilo lilitokea Aprili 12,2024 baada ya gari la shule kuanguka kwenye korongo eneo la Dampo jijini Arusha.





TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments