WAZIRI MKUU AMUWAKILISHA MAKAMU WA RAIS SHEREHE YA KUWEKWA WAKFU KWA ASKOFU MSAIDIZI JIMBO LA MBEYA

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuwakilisha Makamu wa Rais. Dkt Philip Isdor Mpango kwenye mapokezi na maadhimisho ya sherehe ya kuwekwa wakfu kwa askofu msaidizi wa jimbo kuu la Mbeya Geofrey Jackson Mwakasega na Jubilei ya Miaka 125 ya Uinjilishaji jimbo kuu la Mbeya


TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments