Wizara Ya Fedha Na Kamati Ya Dira WAKUTANA

Wizara ya Fedha ni Wizara muhimu katika maendeleo ya Taifa na ufanikishaji wa Maazimio ya Dira ya Taifa ya Maendeleo  Nchini, kwa kuzingatia hilo jana  Kamati  ya usimamizi wa Dira. 

Wajumbe wa Tume ya Mipango na Timu ya kitaalamu na uandishi wa dira ya Maendelo 2050 , walikutana kuweza kupata picha kamili ya walipotoka na wanapokwenda.

Mkutano huo uliongozwa na Waziri wa fedha Mh. Mwigulu Nchemba pamoja Ndugu Laurence Mafuru ambaye ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango kujadili mipango ya maendeleo na nini kifanyike kuelekea kufikia mwisho wa ukusanyaji maoni na uandishi wa Dira 2050.


TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments