Merino akamilisha vipimo Arsenal

KIUNGO Mikel Merino amekamilisha vipimo vya afya tayari kwa kujiunga na klabu ya Arsenal ya England akitokea Real Sociedad

Taarifa iliyotolewa na mwandishi wa habari za michezo, Fabrizio Romano, klabu hizo mbili zinabadilishana nyaraka za mikataba kukamilisha uhamisho huo.

SOMA: Arsenal yaitangulia Juve kuwania saini ya Calafiori

Merino anajiunga na Arsenal kwa dau la pauni milioni 32 pamoja na nyongeza ya pauni milioni 5 (Add-ons).

Kiungo huyo raia wa Hispania atasaini mkataba wa miaka minne wenye kipengele cha kuongeza mkataba mwingine.

SOMA: Tomiyasu yupo sana Arsenal

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments