RAIS NA AMIRI JESHI MKUU SAMIA ASHIRIKI KWENYE KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 JWTZ

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki Maadhimisho ya kutimiza miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) tarehe 01 Septemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa wakati wa kilele cha Maadhimisho ya kutimiza miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Septemba, 2024. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride rasmi la miaka 60 la Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Septemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki Maadhimisho ya kutimiza miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) tarehe 01 Septemba, 2024. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa kilele cha Maadhimisho ya kutimiza miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Septemba, 2024. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi, wageni mbalimbali pamoja na wananchi wakati wa kilele cha Maadhimisho ya kutimiza miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Septemba, 2024. 

Viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria kilele cha Maadhimisho ya kutimiza miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Septemba, 2024.
Gwaride lililoandaliwa na Vikosi mbalimbali vya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) likipita kwa mwendo wa haraka mbele ya Jukwaa Kuu wakati wa kilele cha Maadhimisho ya kutimiza miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Septemba, 2024. 
Maonesho ya Zana mbalimbali za kivita kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati wa kilele cha Maadhimisho ya kutimiza miaka 60 kwa Jeshi hilo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Septemba, 2024.

Matukio mbalimbali wakati wa kilele cha Maadhimisho ya kutimiza miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Kitabu cha miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Septemba, 2024.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments