Waziri wa Nchi ya Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu WILIAM LUKUVI amesema, serikali kupitia Programu za Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi imetoa zaidi ya mikopo yenye thamani ya zaidi Trilioni Sita (6) kuwawezesha Wananchi ili waweze kufanya shughuli za maendeleo.
0 Comments