Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA),Bw.Salim Msangi (wa pili kushoto)ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano Mkuu wa 35 wa Kamisheni ya Usafiri wa Anga ya Afrika (AFCAC), unaofanyika Brazzaville, nchini Congo kuanzia Novemba 26-29, 2024. Katika ujumbe huo Mkurugenzi Mkuu ameambatana na wajumbe wa Bodi ya TCAA Prof. Siasa Mzenzi (wa kwanza kushoto) na Bi Rukia Adam (wa pili kulia) pamoja Mshauri wa Masuala ya Kimataifa wa TCAA Bw.Dossa Luhindi
0 Comments