UTEUZI: Msigwa arejea msemaji mkuu wa serikali

RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Gerson Msigwa kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, na Msemaji Mkuu wa Serikali.

Aidha aliyekuwa Msemaji wa Serikali, Thobias Makoba ameteuliwa kuwa Balozi, na atapangiwa kituo cha kazi, kwa mujibu wa taarifa ya Ikulu.

Taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu, Mosses Kusiluka imeeleza kuwa Rais Samia amemteua Dk James Kilabuko kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu ( Sera, Bunge na Uratibu)




TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments