Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limesaini mkataba na Ushirika wa Maisha Gemu ya Zanzibar ili kuwa wakala wa nishati safi na salama ya Rafiki Briquette visiwani humo.
Halfa hiyo ilfanyika katika ofisi za STAMICO zilizopo Dar es Salaam leo tarehe 13 Disemba,2024. jijini Dar es Salaam Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Bw. Deusdedith Magala amesema, mkataba huu wa mauziano ya Rafiki Briquettes unatoa fursa ya ushirika huo kuwa ni msambazaji na muuzaji wa nishati hiyo kati ya tani 80 hadi tani 100 kwa mwezi kwa kuanzia.
Amesema, STAMICO imechukua hatua madhubuti za kuhakikisha inashiriki kikamilifu katika kutatua changamoto ya upatikanaji wa nishati safi huko Zanzibar
Amesema, mkataba huu unathibitisha dhamira ya makusudi ya ya STAMICO katika kuhakikisha mkaa huu unapatika nchi nzima ili kushiriki kikamilifu ajenda ya Serikali ya kuhamasisha
0 Comments