BALOZI NCHIMBI ACHANGISHA SH. 1.7B KWA AJILI YA UKARABITI WA OFISI YA CCM MKOA WA SINGIDA.

 

Matukio mbalimbali katika picha wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoenda sambamba na harambee ya uchangishaji wa fedha na vitu vingine, kwa ajili ya ukarabati wa Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi. Jumla ya kiasi cha fedha takriban shilingi bilioni 1.7 zilipatikana. Hafla hiyo iliyowahusisha viongozi, wanachama, wafuasi wa CCM na wananchi wa kada mbalimbali, ilifanyika Ukumbi wa Jenerali Venance Mabeyo, jijini Dodoma, tarehe 9 Februari 2025.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments