KAMATI YA BUNGE YA LAAC YAANZA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA AFYA NA ELIMU MKOANI IRINGA

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) chini ya Mwenyekiti wake Mheshimiwa Halima Mdee imeanza ziara yake ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya afya na elimu katika Mkoa wa Iringa ambapo itatembelea Halmashauri ya Manspaa ya Iringa Mjini, Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo na Halmashauri ya Wilaya Mufindi.


TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments