RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA SADC ORGAN KWA NJIA YA MTANDAO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambae pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC Organ akishiriki Mkutano wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya hiyi  (SADC Organ) kwa njia ya mtandao, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 06 Machi, 2025. Mkutano huo umejadili masuala ya hali ya usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.





TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments