Madaktari Bingwa na Bobezi wa Dk.SAMIA SULUHU
HASSAN wapatao 104 wataweka kambi katika Mkoa wa Singida katika Kliniki Tembezi
kwa ajili ya kutoa huduma za matibabu kwa wananchi wanaokabiliwa na magonjwa
mbalimbali.
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI
Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516
0 Comments