Kaului hiyo imesemwa na Yohana Msita Mnec wa mkoa wa
Singida wakati wa matembezi ya utali wa ndani ulioanzishwa na mkuu wa mkoa wa
Sinmgida Bi Halima Dendego wakati wa kuelekea Mei Mosi.
Msita ameeleza kuwa mkuu wa mkoa wa Singida ameuheshimisha mkoa wa na kuendelea kuupa heshima ndani na nje ya
nchi kwa kuendelea kubuni vitu mbali
mbali ndani ya mkoa hasa vya kihistoria.
Aidha Mnec amesema kuwa historia nikitu kikubwa kawa mawanandani
kwajili ya kujifunza na kuendelea kudumisha mila na desturi zetu.
0 Comments