Kongole nyingi zikatolewa kwa Mkuu wa Mkoa wa Singida HALIMA DENDEGO kwa kuweka mazingira rafiki kwa wageni ikiwa ni pamoja na kuimarishwa kwa usalama na huduma za afya, na kusababisha watumishi waliopo mkoani hapo kufanya michezo yao kwa amani na utulivu.
0 Comments