Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu PATROBAS KATAMBI amewataka wananchi kumuunga mkono Rais Dkt SAMIA SULUHU HASSAN kwa kuleta maendeleo katika Sekta ya Afya kwa kuleta Vifaa, Wauguzi na Madaktari Bingwa ili kuondoa changamoto zilizokuwepo kwenye Sekta ya Afya.
0 Comments