Rais Samia Suluhu Hassan, akiwa na Makamu wa Rais Dk Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Mashaka Biteko, Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson pamoja na Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) Tumaini Nyamhokya wakiimba Wimbo wa Mshikamano (Solidarity Forever) kwenye Maadhimisho ya Siku wa Wafanyakazi Duniani Mei Mosi. Sherehe hizo zimefanyika kitaifa katika uwanja wa Bombadia Mkoani Singida leo Mei 01.(Picha na Ikulu)
0 Comments