KIKEKE AUTAKA UBUNGE MOSHI VIJIJI

Mwandishi wa Habari Mkongwe na Mtangazaji Salim Kikeke amechukua Fomu ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Moshi Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).

Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima ambapo watia nia tofauti wameendelea kujitokeza kwa ajili ya kuchukua fomu za Ubunge na Udiwni

.


TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments