

MKUU wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni(kulia) akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa wilaya ya Mwanga, Rukia Zuberi (kushoto) katika uwanja wa soko la Mgagao leo tayari kwa kukimbizwa wilayani Mwanga.
Ukiwa wilayani Mwanga Mwenge wa Uhuru utakimbizwa kilomita 237 na kutembea miradi nane yenye thamani ya Bilioni 1.9.
0 Comments