Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam, kuelekea Entebbe nchini Uganda kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa, tarehe 18 Novemba, 2026.
0 Comments