UNITED EZE: Suluhisho la Kisasa la Vifaa na Mitambo ya Uchimbaji Madini Tanzania

                             

United EZE yakuletea vifaa na mitambo mbalimbali ya uchimbaji, ikiwemo magari ya SHACMAN, Excavators, Bulldozers na Wheel Loaders.

Sekta ya uchimbaji madini inahitaji uwekezaji katika vifaa na mitambo yenye uwezo wa kurahisisha shughuli za uzalishaji, usafirishaji na utekelezaji wa miradi mbalimbali.

Kupitia huduma za UNITED EZE – MINING SOLUTIONS, wachimbaji madini, taasisi na Halmashauri mbalimbali wanakaribishwa kupata taarifa kuhusu vifaa na mitambo inayohitajika katika shughuli zao.

SHACMAN – Nguvu na Ufanisi katika Uchimbaji

United EZE inatangaza vifaa mbalimbali vinavyohusiana na shughuli za uchimbaji, vikiwemo magari ya SHACMAN na mitambo mingine kama:

  • SHACMAN Dump Trucks.

  • Excavators.

  • Bulldozers.

  • Wheel Loaders.

  • Drilling Rigs.

  • Mitambo mingine mbalimbali ya uchimbaji.

Huduma kwa Wachimbaji na Halmashauri

Wachimbaji wadogo, wachimbaji wakubwa, wawekezaji na Halmashauri zote nchini wanakaribishwa kuwasiliana na United EZE kwa maelezo zaidi kuhusu vifaa na mitambo inayopatikana.

Wasiliana na United EZE

📍 Mahali: Mbeya, Tanzania. Huduma zinapatikana pia katika maeneo mengine ya Tanzania.

📞 Simu ya mawasiliano: 0783969442

Kwa maelezo zaidi kuhusu vifaa na mitambo, wasiliana na United EZE kupitia namba hiyo.

UNITED EZE – MINING SOLUTIONS

Uchimbaji kwa Ufanisi, Maendeleo kwa Taifa.

Tangazo limeandaliwa na BandolaMedia.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560

Post a Comment

0 Comments