Recent-Post

Familia ya mume, mke na watoto wasioona wasiojutia maisha MONDAY FEBRUARY 22 2021

Busega. Suzana Ndekeja na Josiah Athumani ni wanandoa wenye historia ya kipekee maishani.

Kwanza wao wenyewe wana ulemavu wa kutoona, lakini hata watoto wao watatu kati ya wanne nao wana ulemavu huo.

Hata hivyo, mtoto wa nne wa wakazi hawa wa kijiji cha Kalemela-Mayega Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, japo anaona, lakini anasumbuliwa na ugonjwa wa akili.

Post a Comment

0 Comments