UTEKELEZAJI WA ILANI YA CHAMA CHA MAPINDINZI (CCM) MKOA WA KIGOMA KUKAGUA MIRADI MBALI MBALI YA SERIKALI

Kamati Ya Siasa Mkoa Wa Kigoma Ikiendelea Kukagua Miradi Mbali Mbali ya Serikali Katika Wilaya Mbali Mbali Mkoani Kigoma 

Mwenyekiti Wa Vijana (UVCCM) Mkoa Wa Kigoma Bi Geraedina Kabululu alizungumza nasi Baada ya kumaliza ziaara katika Wilaya Ya Kakonko Mkoani Kigoma 
                   
Ziara Kama Hiyo Leo Itaendelea Katika Wilaya Ya Kibondo Mkoani Kigoma
                          


TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments