KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM YA ZILIEJESHA MAGIC PRESURE FC NA SPAZ MKOANI SINGIDA KWENYE UWANDA WA SOKO

Timu kongwe za mkoa wa Singida zilizo kuwa zimepotea kwenye ramani ya mpera wa miguu zimerejea kwa kasi baada ya kucheza mashindano ya kombe la azam sport fedaretion msimu wa 2020-2021.
Tiumu hizo zinye ushindani na zenye mashabiki wengi mkoani Singida zimrejea kwa kasi baada ya wachezaji wa zamani wa timu  hizo kutafuta vijana ili kuwarisisha timu hiozo kutata ziwe na muuendeleze na kurejesha ushindani ulio kuwepo zamani na mwisho kupata timu itakayo wakilisha mkoa katika mashindano mbali mbali kwajili ya manufaa ya jamii na taifa kwa ujula

Post a Comment

0 Comments