Recent-Post

LIGI KUU BARA: BIASHARA UNITED 0-1SIMBA

 

FT: Biashara United 0-1 Simba

Zinaongezwa dakika 4
Dakika ya 90 Chama anapeleka mashambulizi Biashara United 
Dakika ya 86 Kapombe anapewa huduma ya Kwanza baada ya kuanguka vibaya wakati akiokoa hatari
Dakika ya 85 Mangalo anaokoa hatari ndani ya 18
Dakika ya 81, Mangalo anajifunga ila Meddie Kagere alikuwa ameotea hivyo hakuna goaaal
Dakika ya 80 anatolewa akiwa Kwenye Kwenye nafasi yake inachukuliwa na Dilunga 
Dakika ya 78 Morrison anaonyeshwa kadi ya njano 
Dakika ya 74 Lwanga anapewa huduma ya kwanza na kadi njano
Dakika ya 69 Chama anaingia Ndemla anatoka
Dakika ya 68 Makoba Baraka anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea faulo Morrison 
Dakika ya 63 Kapombe anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 62 Kabeja anaingia anatoka Zigah kea Biashara United 
Dakika ya 60 Onyango anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 60 Manula  anaokoa hatari
Dakika ya 58 Tshabalala anaingia anatoka Gadiel 
Dakika ya 57 Wawa anaokoa hatari, Morrison anakosa nafasi ya wazi ndani ya 18
Dakika ya 54 Morrison anacheza faulo 
Dakika y 51 Manula anaokoa hatari ndani ya 18
Dakika ya 50 Tariq anakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 48 Gadiel anajaza majalo linaokolewa 
Dakika ya 46 Lwanga anaokoa hatari
Dakika ya 45 Onyango anaanua majalo

UWANJA wa Karume, Mara

Mchezo wa Ligi Kuu Bara, kipindi cha kwanza

Kipindi cha pili kimeanza

Mapumziko 

Uwanja wa Karume, Mara

Biashara United 0-1 Simba

Dakika 3 zinaongezwa 

Dakika ya 45 Kapombe anapeleka mashambulizi kwa Biashara United 

Dakika ya 44 Perfect Chikwende anapaisha mpira juu akiwa ndani ya 18

Dakika ya 42 Wawa anacheza faulo, Biashara wanaanzisha mashambulizi kwenda kwa Manula

Dakika ya 38 Chikwenda anampiga kiwiko mchezaji wa Biashara United 

Dakika ya 35 Deogratius Judika  anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea rafu Onyango 

Dakika ya 33 Lwanga anamchezea faulo mchezaji wa Biashara United 

Dakika ya 32 Chikwende anachezewa faulo na Isihaka

Dakika ya 30 Mchezani wa Biashara United anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 28, Manula anatuliza moira gambani

Dakika ya 22 Goaaaaal Morrison 

Dakika ya 21 Morrison anachezewa faulo

Dakika ya 18 Chikwende anapokwa mpira na nyota wa Biashara United 

Dakika ya 16 Biashara United wanapeleka mashambulizi kwa Manula, mchezaji wa Simba Shomari Kapombe anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 14 Meddie Kagere anacheza faulo


Dakika ya 13 Lenny Kissu anafanya jaribio linaokolewa


Dakika ya 10 Morrison anapiga kona haileti matunda

Post a Comment

0 Comments