Recent-Post

LIGI YA WANAWAKE KUREJEA WIKIENDI HII WAWILI HAO WOTE KWAO SINGIDA

 

Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara, inatarajia kurejea mwishoni mwa wiki hii baada ya kusimama kwa muda kupisha mapumziko ya kutamatika kwa mzunguko wa kwanza.

Mpaka ligi hiyo inakwenda mapumziko kikosi cha Yanga Princess kilikuwa kikiongoza msimamo na pointi zao 31, kikifuatiwa na Simba Queens ambao wana pointi 29 wakiwa katika nafasi ya pili.

Ratiba nzima ya michezo itakayopigwa Wikiendi hii, hii hapa;


Post a Comment

0 Comments