Mawaziri wapokea kijiti cha kutumbua

 Mawaziri picDodoma. Ziara za kushtukiza na utumbuaji majipu ni miongoni mwa aina ya utendaji kazi wa Rais John Magufuli katika siku 100 za ngwe yake ya kwanza kipindi cha miaka mitano cha 2015-2020.

Hata hivyo, baadhi ya wachambuzi wamesema siku 100 za ngwe ya pili, utumbuaji majipu na ziara za kushtukiza zimeonekana kuhamia kwa wasaidizi wake ambao ni mawaziri.

Baadhi ya mawaziri walioanza kazi kwa kasi ya ziara na utumbuaji ni pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo ambaye alimsimamisha kazi Mkurugenzi wa Mji wa Geita, Modest Joseph Apolinary kupisha uchunguzi kufuatia ununuzi wa gari lenye thamani ya Sh400 milioni.

Habari kamili jipatie nakala yako ya Mwanchi leo.

Post a Comment

0 Comments