Akizungumza mkuu wa Wilaya hiyo, Frank Mwaisumbe amesema watendaji wa wizara hiyo walifika tangu jana usiku kwa ajili ya kuendesha shughuli ya kuwafuatilia wadudu hao waharibifu wa mazao.
Walifika jana na wameanza kazi na nzige wengi wameelekea eneo la West Kilimanjaro baada ya kuondoka maeneo ya Namanga mpakani mwa Kenya na Tanzania,” amesema.
0 Comments