
Daraja la Barabara za Juu Kijazi Interchange kama linavyoonekana pichani mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kulifungua leo tarehe 24 Februari 2021.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta kamba kuzindua jina la Daraja la Juu la Ubungo Interchange ambapo kwasasa linaitwa Kijazi Interchange mara baada ya Rais Dkt. Magufuli kuliita Daraja hilo ili kutambua Utumishi uliotukuka wa Marehemu Balozi Mhandisi John William Kijazi katika sherehe zilizofanyika Ubungo jijini Dar es Salaam leo tarehe 24 Februari 2021.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akielekea sehemu ya chini ya la Daraja la Kijazi Interchange Ubungo jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS Eng. Patrick Mfugale wakati akivuta utepe kufungua Rasmi Daraja la Juu katika Makutano ya Barabara za Morogoro, Sam Nujoma, na Mandela ambapo kwasasa linaitwa Kijazi Interchange leo tarehe 24 Februari 2021.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisoma maandishi katika vibao vya Ufunguzi wa Daraja la Juu katika Makutano ya Barabara za Morogoro, Sam Nujoma, na Mandela ambapo kwasasa linaitwa Kijazi Interchange leo tarehe 24 Februari 2021.




Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Bandola tz HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
0 Comments