LIGI Kuu Tanzania Bara mzunguko wa pili unaendelea ndani ya uwanja kwa timu kusaka pointi tatu.
Ikiwa leo ni Februari 18 ratiba inakwenda namna hii:-
JKT Tanzania v Polisi Tanzania, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.
Biashara United v Simba, Uwanja wa Karume, Mara.
Azam FC v Mbeya City, Uwanja wa Azam Complex.
0 Comments