REKODI ZA MECHI 10 ZA YANGA V KAGERA SUGAR


 TUISILA Kisinda alitoa pasi kwenye mchezo wao wa mzunguko wa kwanza ikakutana na Tonombe Mukoko, Uwanja wa Kaitaba ngoma ikakamilika Kagera Sugar 0-1 Yanga.

Cheki mechi 10 za Yanga v Kagera Sugar walipokutana. Hizi ni kwa upande wa Yanga ikiwa nyumbani namna matokeo yao ambavyo yamekuwa kwenye mechi zao 10.

Rekodi zinaonyesha kwamba ni mara 9, Yanga imeshinda huku wapinzani wao Kagera Sugar wakishinda mchezo mmoja pekee.

Mechi zao na matokeo yao yalikuwa namna hii:-

Yanga 0-3 Kagera Sugar-2019/20

Yanga 3-2 Kagera Sugar-2018/19

Yanga 3-0 Kagera Sugar-2017/18

Yanga 2-1 Kagera Sugar-2016/17

Yanga 3-1 Kagera Sugar-2015/16

Yanga 2-1 Kagera Sugar-2014/15

Yanga 2-1  Kagera Sugar-2013/14

Yanga 1-0 Kagera Sugar-2012/13

Yanga 1-0 Kagera Sugar-2011/12

Yanga 2-0 Kagera Sugar-2010/11

Leo zinatarajiwa kukutana Uwanja wa Mkapa majira ya saa 1:00 usiku.

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments