Wanawake wametakiwa kujisimamia katika suhughuli mbali mbali katika jamii na taifa kwa ujumla
Kauli Hiyo imesemwa na alikuwa mgombea wa Ubunge Viti Malum Kuupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Singida Bi Warda Nkhangaa wakati akizungumza na Bandola Tz..com leo wakati akiendelea na shuhuli zake za kibiasha Jijini Der-es- Salam.
Aidha Bi Warda ameeleza kuwa wakati tunaelekea kusheherekea sikuku ya wapenda nao, wanawake wanatakiwa kusimamia shughuli mbali mbali kwa uadilifu na kuwa mfano bora katika familia na Taifa kwa ujumla.
Bi Warda ameendelea kusema kuwa Mwanamke Bora familia Bora na jamii yenye msimamo kwa Taifa linye uwezo wa kujisimamia.
0 Comments