Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati), akizungumza na Watendaji Wakuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji kazi. Kikao hicho kilifanyika ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Dk. Anorld Kihaule |
0 Comments