Recent-Post

COASTAL UNION WAVUNJA MWIKO WA YANGA KUTOKUFUNGWA

 

KLABU ya soka ya Coastal Union kutokea Tanga, leo imetamatisha mwendo wa michezo 21, bila kufungwa wa vinara wa msimamo wa Ligi Kuu Bara klabu ya soka ya Yanga baada ya kuibuika na ushindi wa mabao 2-1.

Coastal imeibuka na ushindi huo katika mchezo mkali uliopigwa kwenye dimba la Mkwakwani jijini Tanga.Post a Comment

0 Comments