RAIS SAMIA AMTEUA BALOZI YAHAYA KATTANGA KUWA KATIBU MKUU KIONGOZI KUCHUKUA NAFASI YA DK. BASHIRU

Balozi Hussein Yahaya Kattanga
**
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi wa Tanzania nchini Japan, Hussein Yahaya Kattanga ameteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuwa Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali na kushika nafasi ya aliyekuwa katibu mkuu Kiongozi Dkt. Bashiru Ally ambaye ameteuliwa kuwa Mbunge.

Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu leo ameteua wabunge wapya watatu ambao ni Dkt. Bashiru Ally, Mbarouk Nassor Mbarouk na Balozi Liberata Mulamula.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya bandola tz  HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments