Mwenyekiti wa chama cha mpira Mkoani Singida (SIREFA)Bw. Hamisi Kittila amewapongeza chama cha mpira manispaa ya Singida Kwa Kueendeleza ligi ya Wilaya na yenye ushindani kwa kuzingatia sheria za mchezo wa mpira wa miguu.
Bw. Kttila ameendelea kusema Umoja ni Nguvu kwani ushirikiano anaoendelea kupata kutoka kwa viongozi mbali mbali wa chama na serikali ndio chachu kubwa ya kufanya vizuri kwa mkoa wa Singida na Taifa kwa ujumla.
Pia ameshukulu serikali ya mkoa wa Singida Kupitia maafisa michezo kwa ushirikiano wanaendelea kutoa ilikuendeleza michezo mkoani Singida
0 Comments