Recent-Post

HIZI HAPA ZA LIGI KUU BARA LEO BONGO

 LEO Aprili 24 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ikiwa ni mzunguko wa pili kwa kila timu zikipabanaia malengo yao.

Uwanja wa Gwambina ni Gwambina FC iliyo nafasi ya 12 na pointi 30 dhidi ya Simba iliyo nafasi ya pili na pointi 55.

Uwanja wa Majaliwa kutakuwa na mchezo wa ligi kati ya Namungo FC iliyo nafasi ya 11 na pointi 31 dhidi ya Mbeya City iliyo nafasi ya 17 na pointi 24.

Post a Comment

0 Comments