KIKOSI cha Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes, raia wa Ufaransa leo kina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Dodoma Jiji, mchezo utakaochezwa Uwanja wa Mkapa majira ya saa 1:00 usiku.
Hiki hapa kikosi kinachotarajiwa kuanza huku kiungo mzawa Ibrahim Ajibu akisugua benchi kusoma ramani ya mchezo itakavyokuwa:-
Aishi Manula
Shomari Kapombe
Mohamed Hussein
Keneddy Juma
Wawa Pascal
Nyoni Erasto
Bwalya Rarry
Mzamiru Yassin
Mugalu Chris
Chama Clatous
Luis Miquissone
Akiba
Beno Kakolanya
Meddie Kagere
John Bocco
Ibrahim Ajibu
Ibrahim Ame
Jonas Mkude
Bernard Morrison
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI
Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516
0 Comments