Recent-Post

MSIMAMO WA LIGI DARAJA LA NNE MANISPAA YA SINGIDA 2021/2022

Msimamo wa Ligi daraja la Nne Manispaa ya Singida ,Kesho ligi itaendelea katika dimba la Liti Stadium (Namfua) Spurs Fc V/S Bufalo fc ,karibu mdau tuwewote kutazama Vipaji kutoka kanda Ya Kati.
 

Post a Comment

0 Comments