Mkuu wa Kitengo cha Habari wa Yanga Bw. Hassani Bumbuli amesema yeye hawezi fanya Kazi Simba kwani tangu mtoto alikuwa anapenda Yanga.
Kauli Imekuja baada ya alikuwa msemaji wa Simba Bw Manara kuhumia Yanga na Jana kutambulishwa rasmi kuwa katika timu ya Yanga
Bw. Hassani Bumbuli ameendelea kusema kuwa hata kama atapewa pesa nyingi kuliko anazo lipwa sasa yeye hayuko tayali kufanya kazi na Simba.
0 Comments