Recent-Post

CHAMA RASMI NI MALI YABRS BERKANE YA MOROCCO

 

RASMI sasa Clatous Chama ni mali ya RS Berkane baada ya kuwaaga mashabiki wa Simba na kukubali kuanza changamoto mpya.

Nyota huyo anaibuka nchini Morocco baada ya kuhitaji kupata changamoto mpya.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Chama ameandika kwamba kila changamoto mpya ina sababu.

Post a Comment

0 Comments