Lukaku, Antonio Pogba waongoza kwa ubora Ligi Kuu

Mshambuliaji mpya wa Chelsea, Romelu Lukaku, ambaye aliongoza kazi ya kuizamisha Arsenal Jumapili iliyopita, anaongoza kw aubora miongoni mwa wanasoka wanaoshiriki Ligi Kuu ya England, ambayo inaingia mwishoni mwa wiki hii inaingia raundi ya tatu.

Kiungo wa Manchester United, Paul Pogba, ambaye hadi sasa ametoa pasi tano za mabao katika mechi mbili, anashika nafasi ya tatu katika orodha hiyo ya ubora inayoandaliwa na NBC Sports, huku beki wa Liverpool, ambaye amerudi uwanjani baada ya majeraha kumuweka nje kwa zaidi ya msimu mmoja, akiwa ameshika nafasi ya sita.


 Mshambualiaji wa West Ham United, ambaye aliongoza mauaji dhidi ya Leicester City alipofunga mabao mawili katika ushindi wa mabao 4-1, ameshika nafasi ya pili katika orodha hiyo baada ya kupanda kwa nafasi 14, huku kiungo wa United, Bruno Fernandes, akipanda kwa nafasi nane na kuwa wa tisa.

Katika orodha hiyo ya wanasoka 20 bora, hakuna mchezaji wa Arsenal, ambayo imepoteza mechi zake mbili za kwanza, huku wachezaji kumi, akiwemo Lukaku na Jack Grealish wameingia kwa mara ya kwanza.

Orodha kamili baada ya wiki mbili za kwanza msimu huu ni kama ifuatavyo:
1. Romelu Lukaku (Chelsea) – Mpya
2. Michail Antonio (West Ham) – amepanda kwa nafasi 14
3. Paul Pogba (Man United) – Juu nafasi 2
4. Reece James (Chelsea) – Mpya
5. Sadio Mane (Liverpool) – Up 4
6. Virgil van Dijk (Liverpool) – New entry
7. Mason Greenwood (Man United) – Even
8. Mohamed Salah (Liverpool) – Down 5
9. Bruno Fernandes (Man United) – Down 8
10. Declan Rice (West Ham) – Even
11. Jack Grealish (Man City) – New entry
12. Gabriel Jesus (Man City) – New entry
13. Said Benrahma (West Ham) – New entry
14. Trent Alexander-Arnold (Liverpool) – Even
15. Raphinha (Leeds) – New entry
16. Danny Ings (Aston Villa) – New entry
17. Kyle Walker (Man City) – New entry
18. Marcos Alonso (Chelsea) – Even
19. Hugo Lloris (Tottenham) – New entry
20. Yves Bissouma (Brighton) – New entry

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments