Watanzania Wametakiwa kutokuwa na Migogoro katika
Jamii kwenye Maeneo Mbali Mbali, ilikufanya kazi kwa umoja na kuwa na
Uzalishaji wenye Tija Katika jamii na taifa kwa Ujumla.
Kauli hiyo
Imesemwa Na Raisi wa Shilikisho La Wachimbaji Wadogo Wadogo Tanzania Bw.Johni Bina Wakati wa Ziara
yake ya kutembelea migodi ya wachimbaji
madini Mkoani Singida.
Raisi Bina amesama Kuwa Raisi wa Jamuhuri ya Mungano Wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan ,Ameeleza kuwa wachimbaji wasibuguthiwe Katika Kazi zao Za Uchimbaji hapa Nchini.
Aidha Raisi Bina ameendelea Kusema Kuwa Mabenk yote yamekaa sawa Kwa Kuwakopesha Wachimbaji Wadogo Wadogo baada ya maelekezo kutoka kwa Raisi wa Jamuhuli ya Mungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassani.
0 Comments