Kauli Hiyo Imesemwa na Raisi wa Shilikisho la Wachimbaji Tanzania Bw: Johni Bina wakati wa Ziara yake ya kutembelea Migodi Mkoani Singida.
Raisi Bina ameeleza kuwa Benk Zote Tanzania ziko tayari kuwakopesha wachimbaji nchini kwa Kuzngatia taratibi amabazo wamekubaliana na benk
Aidha Raisi Bina amemshukulu Raisi wa Jamuhuli ya Mungano wa Tanzania Mama Samia kwa Kundelea kuwathamini wachimbaji na kusema wasibuguthiwe katika kazi za uchimbaji nchni.
0 Comments