BAADA YA HATUA YA KWANZA KUMALIZIKA NA HUU NDIO MSIMAMO WA MAKUNDI YA LIGI YA MKOA SINGIDA MSIMU WA 2021/2022 NA NNE BORA TUKUTANE KUANZIA TAREHE 29/09/2021 KATIKA DIMBA LA LITI.


Singida Claster amefuzu kucheza hatua ya nne bora Kutoka Kundi 'A'
       Manyoni Sc amefuzu kucheza hatua ya nne Bora kutoka 'B'
Misuna Warriors amefuzu kucheza hatua ya nne bora kutoka Kundi                                                     'C '

Timu ya nne ni Nem Fc baada  ya kupata Nafasi ya Best looser .Chama cha mpira mkoa wa Singida kinawatakia maandalizi mema kwa timu zote nne na pia kuwaomba wa wadau kuzisaidia timu hizo ilikupata bingwa atakae wakilisha mkoa katika ligi ya Kanda msimu wa 2021/2022.

Na Abdul Bandola Afisa Habari na Msemaji wa Chama cha Mpira Mkoani Singida.

Post a Comment

0 Comments