HII HAPA RATIBA YA LIGI KUU BARA BONGO

 

HATIMAYE baada ya mchezo wa ufunguzi wa Ngao ya Jamii kati ya Simba v Yanga kukamilika sasa leo Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuanza rasmi kutimua vumbi.

Ikumbukwe kwamba ubao wa Uwanja wa Mkapa, Septemba 25 ulisoma Simba 0-1 Yanga baada ya dakika 90 kukamilika ambapo ni bao la Fiston Mayele alipachika dk 10 lilikuwa ni bao la ushindi.

Leo Septemba 27 ratiba ipo namna hii:-

Mtibwa Sugar v Mbeya Kwanza itakuwa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.

Namungo v Geita, Uwanja wa Ilulu.

Coastal Union v Azam FC, Mkwakwani.

Post a Comment

0 Comments