Recent-Post

HITIMANA THIERY KOCHA MPYA SIMBA

 

UONGOZI wa Simba umemtambulisha Hitimana Thiery, kuwa kocha msaidizi wa timu hiyo inayoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika.


Taarifa ambayo imetolewa leo kupitia ukurasa wa Instagram wa Simba umeeleza kuwa unahitaji kufika mbali katika mashindano ya kimataifa.

Atafanya kazi kwa ushirikiano na Kocha Mkuu wa sasa Didier Gomes ambaye ni raia wa Ufaransa. 

Hitimana ambaye ni raia wa Rwanda aliwahi kuifundisha Namungo FC pamoja na timu ya Mtibwa Sugar.

Post a Comment

0 Comments