KATIBU MKUU WA CCM DANIEL CHONGOLO AKIWA NA WAJUMBE WA SEKRETARIETI YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA AZUNGUMZA NA WANANCHI LINDI

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akizungumza mara baada ya kuwasili Nangurukulu mkoani Lindi ikiwa siku ya kwanza ya ziara ya kukagua na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, Katibu Mkuu ameongozana na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Christina Mndeme akizungumza mara baada ya kuwasili Nangurukulu mkoani Lindi ikiwa siku ya kwanza ya ziara ya kukagua na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, katika ziara hiyo Naibu Katibu Mkuu ameongozana na Katibu Mkuu pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.


Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme akihutubia wakazi wa shina namba 8 katika Kijiji cha Namichiga, Kata ya Namichiga Wilayani Ruangwa, Lindi ikiwa siku ya kwanza ya Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti wa Halmashauri Kuu ya CCM yenye lengo la kukagua na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025. (Picha na CCM Makao Makuu).Naibu Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Christina Mndeme akizungumza mara baada ya kuwasili Nangurukulu mkoani Lindi ikiwa siku ya kwanza ya ziara ya kukagua na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, katika ziara hiyo Naibu Katibu Mkuu ameongozana na Katibu Mkuu pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme akihutubia wakazi wa shina namba 8 katika Kijiji cha Namichiga, Kata ya Namichiga Wilayani Ruangwa, Lindi ikiwa siku ya kwanza ya Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti wa Halmashauri Kuu ya CCM yenye lengo la kukagua na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025. (Picha na CCM Makao Makuu).

TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA CHINI

Je, wewe ni Mfanyabiashara na Unatamani Kutangaza Bidhaa Zako Kupitia Tovuti/Blog Yetu? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia bandolaonline@gmail.com au WhatsaApp: + 255 766 365 560 au 0652 388 516

Post a Comment

0 Comments