Recent-Post

KITITIMO .FC NA NYUKI .FC ZA CHOSHANA NGUVU LIGI YA MKOA SINGIDA (NIMUEENDELEZO WA LIGI HIYO)

Tukutane kesho katika viwanja viwili Bombadia na Liti  Zamani Namfua

Katika Dimba La Bombadia zamani Peoples kutakuwa mechi katika ya 

Singida Claster V/S Home Boys Fc

Na Katika Dimba la Liti zamani Namfua itakuwa kati

Puma Fc V/S Nem Fc

micheze yote itaanza saa kumi kamili alasili

                                    Na   bandolamedia.co.tz
 

Post a Comment

0 Comments