Recent-Post

LIGI DARAJA LA TATU MKOANI SINGIDA KUENDELEA TENA LEO BAADA YA MAPUMZIKO YA SIKU MMOJA


 Baada ya siku mmoja ya mapunziiko ligi daraja la tatu mkoani Singida Kuendelea leo katika viwanja viwili .

Liti(Zamani Namfua) Manyoni Fc V/S Galaxy Fc

Bombadia (zamani Peoples) Home Boys Fc V/S Nem Fc

Mechi Zote Kuanza saa Kumi Kamili Alasili (TWENZETU TUKAONE VIPAJI KUTOKA KANDA YA KATI)

                                           Na bandolamedia.co.tz

Post a Comment

0 Comments